Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Sunday, June 23, 2013

ANGALIA PICHA ZA MSANII DIAMOND AKIFUAHIA MANDHARI YA NCHI YA COMORO

Picha hizi mbili zikimuonesha Msanii Diamond Platnumz akiwa nchini comoro akibalizi mandhari ya nchini humo..
Picha hii Diamond amepost kupitia mtandao wake wa Instagram na chini aliandikia maneno haya ''Breezin' by the pool side before Hittin' the Stage tonight in Comoro''Picha Nyingine alipost kupitia tena mtandao wake wa
 Instagram kupitia account yake inayoenda kwa jinala Diamond Platnumz akiwa na Dancers wake wakonekana wakiwa kwenye bwawa la maji la kuogelea kwenyehotel waliyofikia inayoenda kwa Jina la Retaj Moroni
Hotel

Picha hii akiwa na silaha za maangamizi stejini kutoka kushoto ni Dumi Utamu,Diamond Platnumz,Rama Tonser&Emma Platnumz.....kwa mbali unaona nini mtu mzima Platnumz kashika nini...hahaha ushajua sio kitu cha kuuliza...
Rama Tonser & Emma Platnum silaha ya kichwa....
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...