Ridhiwani amepost picha hii katika ukurasa wake wa facebook na kuandika kifuatacho:
"Nakupongeza mke wangu kwa mafanikio yetu. Mungu atupe na zaidi ya hili."
How sweet is that jamani waking up to a lovely message like this from
your husband tena in public showing how much he appreciates you. God
bless this couple.




