
Mshambuliaji
wa timu ya manchester united Robin Van Persie Amekabidhiwakiatu cha
dhabu akiwa mfungaji bora wa ligi kuu england msimu wa 2012/2013 kwa
kufunga magoli 26 Kwa msimu huu.Mchezaji huyo kutoka uholanzi amechukua
kiatu hicho msimu wa pili mvululizo ambapo mwaka jana alichukua akiwa
anaichezea timu ya arsenal kabla ya kuhamia manchester united msimu huu,
Vana
persie amefanikiwa kufunga magoli 26 akiwa amecheza dakika
3330,Amesaidia kupatikana kwa magoli mengine 15,Amecheza michezo 38
Amefunga magoli 18 kwa mguu wa kushoto na magoli 8 kwa mguu wa kulia na
kwa kichwa goli 1



