Je, unajiamini kuwa na kitu kinachokufanya uwe mkali mtarajiwa?
Vodacom inatafuta mtangazaji mpya wa kipindi cha TV kitakachoanza hivi
karibuni. Soma namna ya kushiriki na unaweza kuwa mmoja ya watangazaji
wa kipindi hiki.Kazi ni kwako.
| Find Us On Facebook | X | |||