Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, May 10, 2013

PICHA ZA MBUZI NANE WALIOCHINJWA MAKABURINI MOROGORO

Katika hali isiyo ya kawaida audifacejackson blog huu umepokea taarifa kutoka kwa wafanyakazi  wa manispaa kitengo cha makaburi ya kolla wakidai kwamba usiku wa manane wa kuamkia juzii mbuzi nane wamechinjwa eneo la makaburi ya kola mkoani morogoro
Mizoga ya mbuzi hao waliochinjwa katika makuburi hayo kama ilivyokutwa wakati Mwenyekiti wa mtaa huo alipopita kukagua na kujioneo tukio hilo lililotokea katika makaburi ya kola mjini hapa.
Mwenyekiti  wa mtaa huo ambaye alifika eneo la tukio na kujionea  tukio hilo.akizungumza zaidi mwenyekiti wa mtaa huo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo kwenye mtaa wake 
Mwenyekiti huyo akipokea taarifa za tukio hilo kutoka kwa mfanyakazi wa makaburi hayo 
Mwenyekiti wa mtaa akigeuza  mizoga hiyo eneo la tukio ambapo katika mbuzi waliochinjwa mmoja alikuwa na mimba na tulikuta kitoto
 cha mbuzi ambacho bado kilikuwa kina umbwa kwenye tumbo la mama yake aliyechinjwa kwenye makaburi hayo

Picha na Dustan

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...