Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano mkuu wa mwaka wa waganga wakuu wa mikoa , wilaya na baadhi wa wakurungezi wa hospitali za rufaa na taasisi za wizara hiyo wakiwemo wakurugnezi wa asasi za kiraia na wadau wa maendeleo.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais , Mahusiano na Uratibu ,Stephen Wasira katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wanawake, Sophia Simba akipongezwa na baadhi ya wabunge mara baada ya kuwasilisha hotuba yake ya Makadrio ya Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2013/2014.