Muonekano wa nje wa hospitali ya St Hellen Joseph, ulipokuwa mwili wa marehem Albert Mangwea
Millard akifanya mahojiano na mmoja wa watanzania walioko Soth Africa
Nje ya mochwari ya Serikali Hillbrow Johannesburg ulikohamishiwa mwili
wa Ngwea ni Watanzania wakiongozwa na Kinje Ngomale Mwiru wakitazama
sample ya majeneza mbalimbali ili wajue la kununua, hapa walikua na
mfanyabiashara wa kampuni ambayo pia huwa inashughulika na kusafirisha
miili ambapo gharama yake ni zaidi ya milioni nne na nusu.