Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodomamay 30, 2013.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu, Dr. Mary Nagu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema
wakiteta Bungeni Mjini Dodoma May 30,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta
na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, January
Makamba, Bungeni mjini Dodoma, May 30,2013.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kiataifa, Bernad Membe akisoma bajeti ya Wizara yake,
Bungeni mjini Dodoma May 30, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia, Bungeni mjini Dodoma May 30, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Viti Maalum, Mary Mwanjelwa,Bungeni Mjini Dodoma May 30,2013.
Mbunge wa Mwanza Mjini Ezekiel
Wenje akiongozwa na Mbunge wa Mtera,Livingstote Lusinde (kushoto ) na
Ofisi wa Bunge ( jina halikupatikana) kutoka kwenye ukumbi wa Bunge
Mjini Dodoma baada ya hotuba yaupinzani kuhusu Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa aliyokuwa akiisoma kupingwa na wabunge wa
CUF, Bungeni mjini Dodoma May 30, 2013/ (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu).