Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, May 10, 2013

KUMEKUCHA, MASHABIKI REAL MADRID WAMZOMEA MOURINHO BERNABEU, CASILLAS APIGIWA MAKOFI!

Unaweza kumekucha, mashabiki wa Real Madrid wameonyesha wazi kwamba wamemchoka kocha wao, Jose Mourinho.

Mashabiki hao wamemzomea Mourinho wakati akitambulishwa wakati timu hiyo ilipokuwa inaivaa Malaga kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu jijini Madrid.

Lilipotajwa jina lake wakati amsogelea kocha wa Malaga kumsalimiia, karibu nusu ya mashabiki uwanjani hao walizomea kwa kupiga kelele.”boooooooo”.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...