Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, May 14, 2013

KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WASISITIZA UMUHIMU WA ELIMU YA HUDUMA KWA MTEJA

ATME 075 BKamishna Msaidizi Mwandamizi na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mohamed Mpinga akisisitiza umuhimu wa elimu ya huduma kwa mteja kwa watoa huduma za usafiri nchini, alipokutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam .
ATME 090BMwenyekiti wa Shirika linalojihusisha na utoaji wa Elimu ya Huduma kwa wateja Kwa wasafirishaji nchini (SEUTA) Hussein Mhita, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa mafunzo ya huduma kwa mteja. Kushoto kwake ni Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani nchini Mohamed Mpinga.
ATME 115 BKamishna Msaidizi Mwandamizi na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mohamed Mpinga akikabidhi pikipiki kwa mmoja wa washiriki wa mafunzo ya huduma kwa mteja.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...