Kabla rapper Ngwea hajafariki, moja ya producer aliekuwa anafanya nae
kazi ni producer, ambapo kazi hii ilikuwa ni kwa ajili ya Ngwea, na
ilikuwa imebaki yeye tu kuja kuingiza verse zake kwababu chorus tayari
ilikua ishaingizwa, lakini baada ya habari hizi mbaya kutufikia (kifo
cha Ngwea), Mswaki ameamua kuingiza sauti yake mwenyewe na kutimiza kile
alichokuwa anataka kukifanya Ngwea. ukisikiliza hii ngoma kama
hujaambiwa kaimba nani, lazima utajua ni Ngwea kumbe ni Mswaki..R.I.P
Ngwea