Akiwa
hajamaliza wiki mbili toka atoke kwenye tour,Sasa leo kupitia katika
ukurasa wake wa instagram aliweza ku post hii picha huku pembeni akiwa
mtu mwenye asili ya Asia ambaye ni promoter hata hivyo diamond hakusema
ni wapi showa ila aliandika #After I did the Uk,Congo,Burundi,......gue ss where next i ll be headed"




