Jana
ilikuwa ni siku nzuri kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
baada ya kumpokea mwanachama mpya Joseph Haule a.k.a Profesa Jay
aliyekabidhiwa kadi ya Chama na mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu na John
Mnyika.
P-Funk
Majani yeye anaamini kabisa kuwa hilo linaweza kutokea na hatashangaa,
kupitia akaunti yake ya Twitter jana (21 May) majani alimtumia ujumbe wa
kumpongeza Prof. Jay na kumwambia kuwa hatoshangaa kama atakuwa mbunge
kwa kutokana na kiwango chake cha kufikiri.
Hii ni tweet ya P-Funk Majani.
“Big up
to @Profesa_Jay big things a gwan! Wudnt be surprised if u become an MP
with ur level of thinking. #SALUTE King Kiboya for me!”
Profesa nae akamjibu:
“@P_Majani pamoja sana the super dupa producer Amini kuwa hatutakuangusha @jidejaydee IT’S ON NOW!!!!!!”




