DEKSHIA: Picha ya Team Anaconda iliyodondoka mtandaoni punde tu
Hii ni timu ya wasanii wanaomsapoti Lady Jaydee ambayo inaaminika
itakuwa naye bega kwa bega katika uzinduzi wake wa tarehe 31 mwezi huu
pale Nyumbani Lounge.
Picha imenukuliwa kutoka mtandao wa twitter, katika akaunti ya Profesa Jay,