| Balozi
wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai
yenye rangi ya taifa) akipeana mkono na Bwana Mark Agterdenborsh Meneje
Mkuu wa SANEC baada ya uwekaji sahihi Hati ya Makubaliano ya
kushirikiana kutekeleza sera ya Tanzania ya Diplomasia ya Uchumi.
Shughuli ya uwekaji sahihi imefanyika leo, The Hague, Uholanzi. |