MWILI WA
MAREHEMU MICHAEL ATHMAN UKIWA KATIKA MEZA ENEO LA TUKIO BAR YA DAJARANI
STOP OVER ILIYOPO KANDO YA MTO MOROGORO MZAMBARAUNI BAADA YA KUPIGWA NA
KITU KIZITO NA KUSABABUSHA KUVUJA DAMU NA KUPEKEA KUPOTEZA MAISHA WAKATI
AKIWA KATIKA LINDO KATIKA BAR HIYO.
GARI LA JESHI LA POLISI LIKIWA LIMEZUNGUKWA NA WANANCHI KWA LENGO LA KUMTAMBUA MAREHEMU HUYO.
MWILI
HUYO UKIWA NDANI YA GARI TAYARI KWA UCHUNGUZI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA
YA MKOA WA MOROGORO KISHA KUHIFADHIWA KATIKA CHUMBA CHA MAITI.
HIZI NI
KANDAMBILI ZILIZOTAPAKAA DAMU YA MAREHEMU MICHAEL ATHMANI AMBAYE
ALIVIZIWA NA WATU HAO NA KUMPIGA NA KITU KIZITO AMBAPO WEZI HAO WALITAKA
KUPORA MALI MBALIMBALI KATIKA BAR HIYO.
HII
NI REDIO AMBAYO TAYARI ILICHUKULIWA NA WEZI HAO LAKINI WALISHINDWA
KUCHUKUA MALI HIYO NA NYINGINE IKIWEMO BAISKELI NA KUVIACHA BAADA YA
KUTENDA UNYAAMA HUO.
KAMANDA
WA POLISI MKOA WA MOROGORO, FAUSTINE SHILOGILE AKIONGEA NA WAANDISHI WA
HABRI KUHUSIA NA HALI YA KIUSALA MANISPAA YA MOROGORO NA MKOA KIUJUMLA
ALIELEZA KUWA MANISPAA YA MOROGORO KWA SIKU YA LEO MEI 17 JESHI HILO
KUWA KWA MANISPAA PEKEE KUMEJITOKEZA MATUKIO MATANO YA WATU KUPOTEZA
MAISHA KWA NYAKATI TOFAUTI.ENDELEA KUPITIA AUDIFACEJACKSON BLOG..ALITAJA
MATUKIO HAYO KUWA NI PAMOJA NA DEREVA TEKSI, MLINZI AMBAO WALIPOTEZA
MAISHA KWA KUUAWAWA WAKATI WAWILI WATU WAWILI NAO WALIFARIKI DUNIA KWA
MATUKIO YA KUJINGA HUKU TUKIO LINGINE LA TANO LIKIWA KWA MTU MMOJA
KUUAWAWA ENEO LA LUGALA.