ARUSHA ONE

Pages

▼

Thursday, April 25, 2013

WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA AZUNGUMZA NA MAASKOFU KUTOKA KANDA YA ZIWA MJINI DODOMA

IMG_0306
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Maaskofu kutoka Kanda ya Ziwa waliotembelea Bunge Aprili 25,2013. kutoka kushoto ni Alex Lwakusumbwa, Z. Isaya na Charles Sekelwa. Wapili kulia ni Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0308Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Maaskofu kutoka Kanda ya Ziwa waliotembelea Bunge Aprili 25,2013. kutoka kushoto ni Alex Lwakusumbwa, Z. Isaya na Charles Sekelwa. Wapili kulia ni Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0309IMG_0313Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akiteta na Waziri wa Maji, Profesa Jumann Maghembe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma,Aprili 25,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0328Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Viti Maalum na Mkuuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 25,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)

at 12:29 PM
Share
‹
›
Home
View web version

About Me

Captain Fixed Matches
View my complete profile
Powered by Blogger.