Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Maaskofu kutoka Kanda ya Ziwa
waliotembelea Bunge Aprili 25,2013. kutoka kushoto ni Alex Lwakusumbwa,
Z. Isaya na Charles Sekelwa. Wapili kulia ni Mbunge wa Msalala, Ezekiel
Maige. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akiteta na
Waziri wa Maji, Profesa Jumann Maghembe kwenye viwanja vya Bunge Mjini
Dodoma,Aprili 25,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Viti Maalum na Mkuuu wa Mkoa
wa Rukwa, Stella Manyanya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili
25,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)