Pages

Thursday, April 25, 2013

KALA KUIPELEKA PASAKA MWANZA


Msanii wa nyimbo za Hip Hop Kala Jeremiah anatarajia kuzindua albamu yake inayojulikana kwa jina la 'Pasaka' ijumaa jijini Mwanza, baada ya kufanya uzinduzi huo jijini Dar es Salaam na kuonekana kupokelewa vyema na mashabiki wake