EXCLUSIVE: HII NI BARUA YA WAZI ILIYOANDIKWA KWA DIAMOND IKIMPONDA KWA MABAYA ANAYOYAFANYA.
BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI mbeya region P.O.BOX 1021 MBEYA
dear diamond....
sina
imani we ni mzima wa afya kutokana hasa na mambo unayofanya kiukweliii
katika wasanii wakali mpaka kupitiliza hapa tz wew ni mmoja wapo..
napenda sana vibonzo vyako hasa kile cha " nani amenuna nani amenuna eti
nani amenuna" najua utakua umemalizia WEMA... katika kila shoo zako
unazofanyaga mara nyingi huwa unataja kumheshim sana mama yako mzazi
kutokana na malezi aliyokupa toka kipindi kile unauza MITUMBA.. lakini
saiz unafanya mama wa watu aonekane alizaa toto zinzi ambalo kama
limetumwa kuzini na kuumiza wanaume wenzie.. ivi unajua mke anauma kias
gani hata kama wanajileta we ni mtu mzima ambaye unatakiwa kupembua
mambo.... hasa kuhusu jambo la HILI MBURULA LENZIO UWOZO or SORY I mean
UWOYA.. unajua kabisa

kaka
yetu NDIKU ambaye anafanya kazi ngumu ya kukabana na wakina NSAJIGWA
NFUSO uwanjani ili apate chochte cha kulisha family yake lakini wew bila
huruma una ramba asali yake... ivi unajua mtoto wa uwoya "krish"
atakopukua njiani kwenda shule wenzie watakua daily wakimuambia " mtoto
wa kambo wa DOMO huyo' ivi dear diamond mbna unataka mama yako asipewe
heshma sababu ya wew hujui ka unamfanya awe despsd infrnt of da pple...
najua hujaelewa coz elimu kwako ni tatizo utampigia wema akufafanulie
ila usi mrecord coz anakusaidia ww.... au umea athirika unafanya
kusambaza.. hawa wanawake wapo toka enzi za ma dinossaurs,,, mwambie
penny akuambie maANA ya dinossaurs.. huu mda unaoangaika na wanawake
ungejiendeleza ata kielimu iyo 4m four itakufksha wap.. na wew mama
diamond ivi huoni anachofanya mwanao unashindwa kumshauli au unataka uje
kumwambia akishaanza kuharisha na kumvisha visepe.. ERIC SHIGONGO
naomba ukiiona hii itupie kwenye ijumaa wikienda ili babu yangu wa ileje
Ambaye hatumiii fb asome mana kila siku amekua akiipenda nyimbo ya
mbagala bila kujua uovu wa aliyeimba kwa leo yatosha ila TACAIDS naamini
itakutemblea diamond siku si nyingi kkupa matumizi saHII YA arv
wako shabiki nambA MOJA DUNIA NZIMA....... via mbele kuchungu