Pages

Thursday, April 25, 2013

ISHA MASHAUZI ATUHUMIWA KUIBA POCHI YENYE ZAIDI YA SH LAKI 7

 

Msanii aliewahi kuchukua tuzo mwaka jana kwa umahiri wake wa kuimba vizuri mziki wa taarabu, Isha Mashauzi, leo hii kupitia u heeeeard na Gossip Cop Sudy Brown, ametuhumiwa kuiba pochi la mwenye duka maeneo ya Kariakoo, na huku ikisemekana pochi hiyo ilikuwa na mkwanja wa mauzo, shilingi 758,000.
na bongoclan