
Baada ya kukaa mwaka mmoja na nusu bila kuachia ngoma, leo hii stereo amedondosha mzigo mpya "Haina Ngwasu" aliofanya mwenyewe mwanzo mwisho na uliojaa puchlines zinazokutaka kukaa chini kumsikiliza ndio umuelewe anachokimaanisha...hiphop imelala vina vya hatari sio vya kuunga unga....anyways nisijeonekana nampamba sana mpe sikio lako hapo chini.



