Ni kawaida tumezoea kwenye fukwe za bahari kuna muonekano kama kwenye picha ya juu, yani rangi ya mchanga mpaka maji na mazingira kwa ujumla ila moja kati ya stori ambazo zimekua zikivutia watu wengi kushuhudia ni hii picha inayofata hapa chini ambayo ni ufukwe wa bahari maji meusi huko Iceland.




