| New maisha club jumapili hii palikucha sana palikuwa na birthday ya ommy crayze na nyandu tozi pia burudani ilitolewa na wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya |
| mayze b |
| Hyperman hk na nipe kidogo. KWA PICHA ZA MATUKIO ZAIDI |
| kitu cha keki |
| Timu crayze wakimwaga radhi |
| dogo hamidu a.k.a nyandu tozi akilishwa keki |
| ROBBY ONE fashion akilishwa keki |
| Mwakilishi wa wema sepetu petit man wakuache |
| Mamaa ommy crayze ANGEL akilishwa keki na ommy crayze |
| dogo hamidu akiloweshwa mabia na mamaji kwenye siku ya kuzaliwa kwake. |



