
Nimeamua
kuja kijijini kusherekea siku yangu ya kuzaliwa pamoja na masabiki
wangu wa huku maeneo ya kwadikwazu! Mwakani mwenyezi mungu akiniweka hai
na afya njema tena ntaenda kijiji kingine.
| Nakata keki nile na masabiki wangu |
| Nimekatazwa kukata na sime najaribu kukata na kisu sijui atawesekana? |



