Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Wednesday, July 31, 2013

Mapokezi ya Waziri Mkuu wa Thailand YINGLUCK SHINAWATRA jana baada ya kuwasili Tanzania


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya kikazi ya siku tatu nchini.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra wakipokea heshima.

Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra akikagua gwaride.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra kwa viongozi mbali mbali Serikali waliofika kumlaki mgeni huyo. 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra wakiangalia burudani ya ngoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra.


Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra akisalimiana na baadhi ya raia wa Thailkand wanaoishi nchini alipowasili katika hoteli ya Kilimanjaro Regency Hyatt jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha mandhari ya bandari ya salama Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra alipowasili jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiingia Ikulu nwa mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra alipowasili leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo rasmi na Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra alipowasili na ujumbe wake jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.

Picha na maelezo kwa hisani ya - Ikulu Blog
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...