Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Sunday, June 30, 2013

PICHA ZA MID-YEAR PARTY

Jana usiku, mrembo/model from Kenya HUDDAH, alikuwa aki-host bonge la party lililofanyika pale ELEMENTS LOUNGE . Huddah ambae alishiriki katika shindano la Big Brother Africa: The Chase 2013 ambalo bado linaendelea huko South Africa .Party hiyo ilihudhuriwa na watu mbali mbali jijini Dar, check baadhi ya picha katika party hiyo hapa chini ;
Arthur akiwa na Huddah.
AY
Jamil & Gillsant
Arthur & Nchakalih
Huddah & Vanessa Mdee
Adam Mchomvu & Dullah
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...