Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, June 14, 2013

PICHA 18: CHECK REHEARSAL NIGHT YA SHOW YA MWANAFA … “THE FINEST”

Jana usiku, mazoezi ya show yalikuwa yakiendelea katika ukumbi wa NATIONAL MUSEUM sehemu ambayo MwanaFA‘s show ya THE FINEST itafanyikia … At our presence, band nzima yaKILIMANJARO (Wananjanje), MwanaFA, Mandojo & Domokaya, Ben Pol, Dully Sykes, Linah, Maua na wengineo walikuwa wanajiandaa vyema kwa ajili ya Corporate Hip-Hop show hiyo itakayofanyika leo kuanzia saa 3 usiku …
Tazama baadhi ya picha zikiwaonesha wasanii hawa katika rehearsal hiyo ;
Mzee Moddy with his Guitar !
The show is happening tonite!!!! Kama bado hujakamata ticket yako … Huu ndio wakati … See y’all There …#TheFinest
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...