Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, May 7, 2013

PINDA ATEMBELEA KANISA LA OLASITI NA KUZUNGUMZA NA WAUMINI NA VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI


IMG_0605 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Viongozi na Waumini wa Kanisa Katoliki la Olasiti Jijini Arusha  May 7,2013 alikokwenda kutoa pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani hapo May 6,2013 na kusababisha vifo na majeruhi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Paroko wa Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha, Peddy Castelino  (kulia) May 7,2013  wakati alipotembelea kanisa hilo May 6,2013 ambako ulitokea  mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
IMG_0634 IMG_0644 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...