Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Thursday, May 9, 2013

Pinda amwandalia Chakula cha Mchana Rais wa Chama cha Urafiki Kati ya watu wa China na Afrika.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Chama cha Urafiki kati ya Watu wa China na Afrika (Prsidendt of Chinese -Africa Peolple’sFriendship Association (CAPFA), Mh.Abulaiti Abudurexiti (katikati) na mkewe Gulibusitan Shabitii (kushoto)  baada ya chakula cha mchana alichomwandalia Rais huyo na ujumbe wake kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es laam May 8, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...