Wednesday, May 1, 2013
PICHA YA ABIRIA WAKIOKOLEWA KWENYE AJALI ILIYOTOKEA CHALINZE PWANI LEO MAY 1 2013
Taarifa ambayo sio rasmi ni kwamba hakuna aliepoteza maisha, zaidi ni waliojeruhiwa tu lakini bado arushahiphop.blogspot.com
inaendelea kufatilia taarifa ya Polisi Pwani ili kupata taarifa kamili
ya ajali ya hili basi liitwalo Smart ambalo lilikua likitokea Mombasa.




