Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, May 17, 2013

PICHA: MWANAMAMA HUYU AMEKUWA GUMZO KATIKA MJI WA MTWARA MTIZAME HAPA CHINI


 Pikipiki ilirukiwa fasta na Mwana mama huyu, wasio mfahamu wengi walimshangaa, alivaa Kofia ngumu kisha akapachika pochi yake anapotaka na kisha akaiwasha. Huu ni usafiri wake anaoumiliki na huutumia mara zote katika mishe mishe zake.
Safari ikaanza na gia ziilingizwa mama huyu ni maarufu sana Mjini Mtwara
 

Nilikuwa naona vumbi tu linatimka na masihara niliyodhani anafanya kumbe ndio alikuwa akiondoka na huo ndio usafiri wake.Picha na Father Kidevu
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...