[BARCELONA FC]
Baada ya timu yake kukungutwa "seven days a week", sorry i mean 7-0 on
aggregate, Lionel Messi amechookaaaa kama unavyomuona pichani......
Hebu mpige madongo au mshauri au mpe faraja kwenye comments....
Baada ya timu yake kukungutwa "seven days a week", sorry i mean 7-0 on aggregate, Lionel Messi amechookaaaa kama unavyomuona pichani......
Hebu mpige madongo au mshauri au mpe faraja kwenye comments....