Elimu
kwa Umma ilitolewa kuhusu umuhimu wa kujiunga na bima ya afya na mifuko
ya afya ya jamii(CHF) kwenye banda la NHIF,kama ambavyo wanafunzi wa
sekondari ya Lindi kushoto Anthony Lwinde na Cosmas Nindye wakipata
elimu ya kujiunga na chf kwa mfumo wa kikundi cha wanafunzi watano
watano kutoka kwa afisa wa mfuko Dr. Beatrice Mwakipesile wakati wa
maadhimisho hayo.
Pichani
afisa wa NHIF mkoa wa Lindi Laurent Hoja akishiriki kuchangia damu
kwenye benki ya damu salama ili iweze kusaidia wananchi wenye mahitaji
Mkuu
wa Wilaya ya Lindi Mhe.Dr Hamid Nassoro akipata ufafanuzi wa huduma
zilizotolewa na NHIF wakati wa maadhimisho ya wiki ya elimu kwa wote
ambayo yaliyoadhimishwa kitaifa mkoani Lindi hivi karibuni,anayetoa
maelezo kulia mwenye miwani ni msimamizi wa ofisi ya NHIF Lindi
Fortunata Raymond



