Redd's
Miss Arusha City Centre 2013 Nancy Moshi akiwa katika picha ya pamoja na
na mshindi wa pili Glory Steven (kushoto) na mshindi wa tatu Neema
Kessy (kulia) mara baada ya warembo hao kutangazwa kuwa ndio washindi wa
shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika hotel ya
kitalii ya Snow Crest jijini Arusha..



