Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na MwadahamaPolycarp Kaldianali Pengo (kushoto)
wakishuhudia wakati Mhashamu Titus Mdoe, Askofu Msaidi wa Jimbo Kuu la
Dar es salaam katika Ibada ya kumsimika Askofu huyo zilizofanyika kwenye
viwanja vya Msimbazi Centre jijini Dar es salaam Me 1, 2013. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)