Atakae anza tena kunitafuta nitamkalia kimya mpaka hapo uvumilivu wangu utakapo nishinda.
Nikaona itakuwa si sawa kama ntaondoka vitani bila kuwapa one for the road...
This is
special dedication to Mrs. Bankruptcy... Yani huu wimbo maneno yake
utadhani walikuwa wanamuandika yeye wakati wanautunga....lol....
Haswaaa dakika ya 3.41.
'Maisha kutafuta sio kutafutana'
PS. Hata
msipoandika jina langu mkiandika Miami tu naanza kuhesabu, hata
mkiandika USA ntajihisi ni mimi (utadhani mtz peke yangu nipo
USA)....hehehehhehe
yani ni hivi sisemagi mtu mafumbo humu staki kusemwa kimafumbo atakaejifanya anapenda ugomvi anaweka comment za kunihusu
ntamnyamazia kwa muda ili siku nikilipuka mtu asinilaumu na yeye pia ajue ndo alikuwa ananichokoa. Jamani naomba discipline.....
Mie ntaendelea kufanya kama zamani nablog about my life sina time na mtu. PLEASE DO THE SAME......
This blog
is about Mange Kimambi's life, mashauzi yangu, biashara yangu, familia
yangu etc. Kama hupendi the way i blog or live my life kwanini
unajipandisha
BP kwa kuingia humu????Katembelee blog ambazo hazina makuu kama michuzi
blog etc. Ukiingia humu it means umekubaliana na the way i live my
life...." Says Mange




