Uwiii
nisameheni jamani, najua this week nimekuwa mswazi kupitiliza... Jamani
huyu ndo wamwisho.... Wanasemaga save the best for last....
Yani kati ya ya watu wanaonifyatilia issue zangu nawachunia huyu ndo number moja. Alafu hachoki miaka na miaka. Anayway
to cut the story short, rachel alinikosea back in 2008 ila akaniomba
msahama vizuri nkamsehe. Enzi hizo 2008 mie nilikuwa sijazoea kutukanwa
yani kidogo nife na presha jinsi alivyonitukana nilikuwa very sensitive
yani. Ila nikamsamehe.
Alivyoniomba msamaha tu nikamsamehe.......
Yani nilikuwaga kapole sana and very sensitive..... Nikamsamehe kwa roho safi ila kila mtu aende kivyake...
kumbe mwenzangu kaniwekea chuki sababu ya kusema staki tena kujuana nae.
Rachel
the reason sikujibu matusi yako FB sio kwamba sioni au nakuogopa, ila
Dada yako Hoyce aliniomba sana. Na huwa anakuombea msamaha unapotukana
watu facebook. Ungejua unngeacha unamtesa dadako ambae ni msomi na
katulia na familia yake. Unapotukana inabidia aanze kutafuta
waliotukanwa akuombee msamaha atuarifu wewe ni mwendawazimu tukuache tu.
That's why tunakuacha, we respect your sister. MTu hadi unamtukana
dadako Facebook unadhani mzima wewe.
Hoyce
I am really sorry for publishing the emails that you wrote to me in
confidence ila huyu mdogo wako amenipush sana this time. Ngoja tu ajue
kwanini watu hatumjibu . Ni kwa heshma yako tu.
Kuna wakati bibie alitumwagia mitusi mimi na yoyote aliekuwa rafiki yangu kipindi hiko, hakutuchagulia tusi.
So
dadake akatu forwadia emails alizokuwa anamkanya mdogo wake. Ikabidi
mpaka atag na ndugu wengine ili wajue hamuonei huyu black sheep wa
family...
si mnajua kila family lazma kuna mmoja atatokea ambae lazma awe hasara au laana kwa family.Kwa familia ya Temu ni Recho.
Ndo hivyo dadake anani forwardia email ili tu nijikaze nisitukanane na mwendawazimu wa familia.
Imagine dadake kamaliza kumkanya tu akaweka status anamtukana dada yake...hehehe,...hivi huyu mzima? SI wa kumsamehe?
Imagine dadake wa tumbo moja anamtukana hadharani, kama hana huruma na dadake sasa kina Mange si ndo atatumaliza kabisa?
Mie huyo nkamtumia dadake hayo matusi ya facebook , maana dadake alikuwa hayupo huko facebook.
Baada ya dadake kuona yale matusi aliyotukanwa na mdogo wake akaishiwa na nguvu...
Ila aliendelea kutusihi mdogo wake ni mwendawazimu tusimjibu.
Haya mambo yake ya kutukana facebook mpaka dadake akamtupia nguo nje, ikabidi arudi kukaa kwa mamake....
Na hapo akimuuzi mamake atupiwe tena nguo nje arudi kwa dadake. Yani ana maisha yakutanga tanga yule mwanamke..
Rachel
apart form kukukalia kimya sababu dadako kaniomba, ila pia nakukalia
kimya sababu i dont deal na international criminals.
Mwanamke ana criminal record ya kutosha huku Marekani.
Uliletwa
USA Na foundation ya Mama Ana Mkapa kwa mambo yenu ya kusaidiana
Wachaga kwa wachaga. Badala waangalie who really deserves kuletwa huku
wanaangalia kabila. Mwisho wake umerudi Tanzania na PhD ya matusi.
Haya kabila likakusaidia ukapelekwa kusoma ,badala usome, sababu umeletwa kwa pesa za msaada kutwa michambo facebook.
Mtu
umefika US kwa msaada kwanini usitulie ukasoma??? Ungetuacha kina Mange
tuliokuja na pesa za baba zetu ndo tucheze...hehehehehehhe
Matokeo yake ulirudi Tanzania na pingu mkononi.... Alafu kutwa kuongea mambo ya watu mbona huongelei yako??
Kutwa kuongea ya watu MBONA yaha yako husemi?Ntakuona wamaana siku ukiweka status fb ukasema
jamani oneni im a convicted thief. Nilideportiwa usiku usiku na pingu mikononi..
Hivi ulikuwa unaenda shule saa ngapi na mahakamani saa ngapi??? it seems u spent all ur time mahakamani as a defendant.
You are a careeer criminal mama.....
Mwanamke
you are over 30 yrs old, huna bwana, huna mume, yule mpishi wa kihindi
umemua advertise facebook weeeee kanawa mikono, huna elimu zaidi ya
cheti chako cha form 6 from makongo, kutwa kufukuzwa kazi, Ulianzia
kempinski wakakutimua ,
ukatafutiwa
kazi Grumeti maana dadako aliona huwezi kuishi na binadamu basi
ukajaribu kuishi na wanyama porini, ukaenda kuwa Afisa Chunga wanyama
porini huko. Tukapumzika kidogo na matusi facebook
maana
kule porini network hadi utegeshee kwenye kimlima, Huko nako huku last
wanyama wenyewe waligoma wakataka kuvuka mpaka waende Kenya jinsi
unavyoboa.
Umerudi mjini sijui unajishikza wapi sasa hivi, ila huko nako utatimuliwa kwa tabia zako.
Sijui wanajua kwanza una crimina record marekani ndefu hivi???? Do they know they have hired a convicted thief????
Anyways
Rachel naamini wala hanichukiii, kinachomuuzi ni kwambia who do i think
i am mpaka staki kupatana nae? thats all. Maana last yr, 2 weeks before
i came to the US, Cynthis Masasi called me, sasa sijui Huyu chizi fresh
ndo alimpigia kumwomba atupatanishe au Cynthia mweneywe thought of it
sijui, Ila She called me akasema kaongea na Rachel, Rachel kasema yupo
tayari tukae tuongee, tusameheane, akasema yeye alikuwa ananitukana
sababu sijui niliweka comments za kumtukana humu, i just thought wewe
mastatus yale ya kunitukana you thought sitokujibu. Akasema Rachel yupo
tayari ku forgive and forget , tukae chini tuyaongee, mkutano ulitakiwa
kuwa sea cliff if i remmber right. Yani it didnt even take me a minute
to tell Cynthia what my stand was . Nkamwambia Cynthia huyu mwanamke
just 3 days ago kaweka status ingine ya kunitukana, today she is ready
kupatana na mimi is she ok?? Nkamwmabia mwambie naomba tusameheane kwa
mbali, sina kinyongo nae nimemsamehe, ila staki kukutana wala kuongea
kila mtu aendelee na life yake. Cynthia akajaribu kunisihi, Mama Max wa
watu she was very diplomatic, nkamwmabia Mama Max namjua RACHEL fika she
was my friend before and i know we can't be friends wala nini, mi
naomba tu tusameheane kwa mbali. kila mtu amweshimu mwenzie,. Bidada
huko sasa sijui Mama Max alimjibu nini, nahisi alikuwa keshavaa zile
skin tight na mabuti yake ya mwakae 47 anaeda sea cliff kupatanishwa na
Mange Kimambi. hehehhhehehhe...... Sijui kilichoendelea pande hizo kwa
kweli baada ya mimi kutoa jibu, all i know is alikaa 1 good month bila
kunitukana wala kunitaja, akawa anatukana watu wa media sijui kina nani,
ghafla been vup mwaka huu kaanza tena upyaaaaaaaaa.... Naona hata
Cynthia huko anashangaa ile cease fire iliishia wapi...lol.... Na matusi
yote aliyotukana hata siku moja hajawahi kuongelea hili jambo Cynthia
kutupatanisha, kumbe kichaa chako sio cha full time??? unajifanya unajua
kutukana mbona hili hujasema????? Sababu watajua deep down unatamani
kuwa na mimi? Naomba uache kuning'ang'ania kama mie mwanamke wako, im
not a lesbian, usinifananishe na Devota (Sio devota Diva, anamjua
mwenyewe Devota nani). Nna baby yangu ananifundisha taratibu, Uwiiii
wapi baby ya Mange,??? hehehhe
Huyu
mwnaamke last yr ndo alikuwa anweka status facebook ' hivi inakuwaje
mange kaolewa na mzungu analafu kanyimwa visa ya kwenda marekani" Mie
nakaa kimya nkasema huyu ngoja atapata surpise yake soon. Tatizo Rachel
anaonaa marekani kama mbiguni. Maisha popote wewe, Tatizo wewe ulitolewa
marekani na mbingu mikononi hamu yako bado ilikuwa haijaisha ndo maana
unaona marekani ndo mbiguni. Ungejua kama ningeweza ningeishi bongo
ningekaa bongo nipo huku sababu ya ndoa tu.
Rachel
kama unadhani utanitukana matusi mpaka ni surrender tupatane tuwe
mashoga, you are soooooo wrong. We will neevr be friends, hata umtume
nani, All i can do is forgive you and wish you the best in life. But
friends hell no. Get that???? Kama wewe kichaa kweli kaandike status
facebook kuhusu issue ya Cynthia kutupanisha ukavaa na skin tights zako
ukapatane na the great Mange Kimambi nikakunyali??? Utaota hiyo siku ya
kukaa chini na mimi hadi kifo chako, it will never happen. All you can
do is stay bitter, utukaneeeeee. It must hurt really bad mpaka dada
yako mzazi ana side na outsiders kwa jinsi ulivyo hauko normal.
kuna
wakati alisema home wameanza maombi once a week kukuombea akili itulie,
naona Mungu hayuko tayari kupokea sala, Si haba naamini kuna siku Mungu
atasikia sala za familia yako na atakupa utulivu wa akili.
Jamani
naumwa mgongo, vidole, shingo, kila kitu, nimeandikajeeeeeee.....
nisameheni, leo ndo mwisho... nilitaka tu ajue sababu 2 muhimu kwanini
simjibu.
1. Sababu ya Heshma ya dadake Hoyce Temu, alieniomba niistiri familia yao kwa kumu ignore huyu black sheep wao.
2.
Sababu ni Criminal - I can not associate myself with a person with such
a long criminal record, Yani huyu angeendelea kuishi US angefungwa kwa
jinsi alivyo mwizi.















