Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Wednesday, May 29, 2013

KAMATI YA MISS TANZANIA YAKUTANA NA WAREMBO WA KIGAMBONI

 Warembo wa Redd's Miss Kigamboni wakiwa katika pozi(Picha na Habari Mseto)


 Kamati ya Miss Tanzania ikiwa katika picha ya pamoja na warembo wa Redds Miss Kigamboni
 Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga akizungumza na warembo wanaowania taji la Redd’s Miss Kigamboni wakati alipotembelea kambi yao ya mazoezi jijini Dar es Salaam.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...