Alizaliwa nchini Japan mnamo 05/03/1898 hivyo kumfanya awe na jumla ya miaka 115 .
Alipoulizwa ni nini siri ya yeye kuishi kwa muda mrefu hivyo, alijibu kwa kifupi kuwa, ni kuhakikisha mtu anajali afya yake.
Mumewe Misao alifariki akiwa na umri wa miaka 36 na hivyo kumfanya Misao kuishi akiwa mjane kwa muda mrefu.
Mungu kamjaalia watoto watatu, ambao ni watoto wawili tu walio hai ambao ni mwanamke na mwanaume.
Kwa sasa Misao Okawa anaishi katika moja ya vituo vya kulelea maajuza na watu waliokula chumvi nyingi.
"Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"