Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Sunday, May 5, 2013

GODBLESS LEMA AHAMASISHA UCHANGIAJI WA DAMU KWA AJILI YA MAJERUHI WA ARUSHA

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akiwa na mbunge wa Arumeru Joshua Nassari wametoa damu kwa ajili ya majeruhi walioumia katika tukio la kulipukiwa na bomu katika Kanisa Katoliki Olasiti Arusha.


Lema amewahimiza wakazi wa Arusha na vijana kujitolea kwa wingi kuchangia damu ili kuokoa majeruhi.Mpaka sasa watu wanaendelea kujitolea kuchangia damu kama ishara ya kumuunga mkono mbunge wao.
Watu wengi na hasa vijana wamempongeza Lema kwa jinsi anavyohamasisha wananchi kwa lengo la kuokoa majeruhi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...