Bondia
Fransic Cheka akishangilia ubingwa wake kwenye mpambano wao uliofanyika katika sikukuu ya mei mosi katika
ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya
kumi
Thomas Mshali akiwa amedondoka chini baada ya kutupiwa ngumi kali
Bondia
Fransic Cheka Kulia akipambani na Thomas Mshali wakati wa mpambano
wao uliofanyika katika sikukuu ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba
Dar es salaam Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya kumi

Bondia Fransic Cheka Kushoto akimshambilia kwa makonde ya nguvu Thomas Mshali
wakati wa mpambano wao uliofanyika katika sikukuu ya mei mosi katika
ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya
kumi
Bondia
Fransic Cheka akizungumza na vyombo vya habari baada ya kushindampambano wao uliofanyika katika sikukuu ya mei mosi katika
ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya
kumi
Thomas
Mshali akizungumza na vyombo vya habari baada ya kushindwa kwenye
mpambano wao uliofanyika katika sikukuu ya mei mosi katika
ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya
kumi