![]() |
Mwanafunzi huyu akisherekea siku yake ya kuzaliwa kwa stail ya kujipaka matope mwili mzima: |
![]() |
Akiwa katika pozi la matope check out walivyojiachia, |

![]() |
Hapa ni maeneo ya chuo cha CBE Dodoma
campus akizungushwa maeneo ya hostel, ilikuwa ni furaha sana kwa kijana
Martin akiwa na wadau wake wakiwa wamempakaza matope na hizi ndizo picha
zake. ```HAPPY BIRTHDAY MARTIN``` |