BREAKING NEWSSSS: SHEIKH PONDA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA CHA NJE
Makahama
ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, imemfunga kifungo cha nje cha
mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh
Ponda Issa Ponda, huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru