ANGALIA PICHA YA MTUMIAJI WA FACEBOOK MWENYE UMRI MKUBWA KULIKO WOTE
Inaaminika
kuwa Ms Maria Seguar-Metzgar Pichani mwenye umri wa miaka 105
yawezekana ndo mtumiaji wa Facebook mwenye umri mkubwa kuliko wote
Duniani.Ms Maria alisherehekea siku yake ya kuzaliwa wiki iliyopita ya kutimiza miaka 105, huku akiwa na marafiki 86 kwenye Facebook