Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, April 16, 2013

WEMA SEPETU ASEMA HAKUNA STAR KAMA YEYE TANZANIA,DIAMOND ANATAFUTA KICK KUPITIA YEYE. NI BAADA YA KUNASWA AKIMBEMBELEZA DIAMOND


 Mwanadada star Tanzania shineng star WEMA SEPETU amesema hakuna star kama yeye Tanzania,ameyasema hayo leo katika kipindi cha uhead clouds fm na sudy brown baada ya kupigiwa simu na kuhulizwa kuhusu simu aliyompigia DIAMOND PLATNUMA inayosemekana alikuwa anabembeleza PENZI kwa mnyama DIAMOND PLATNUM na kumpa PENNY kuongea na WEMA SEPETU.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...