Wapendwa!

Falsafa ya win wi situation huzingatia nanufaa ya kila upande either katika mkataba au katika makubaliano yoyote ambapo, pande zinazokubaliana kuingia katika mkataba au makubaliano husika kila moja inapata nanufaa yanayozingatia haki na uhusika katika mkataba au makubaliano!

Watanganyika tunajikuta tunakuwa loosers katika almost kila mkataba, Tatizo ni nini? Kwa tathmini fupi niliyowahi kuifanya nikagundua kama taifa, hatuzingatii falsafa ya win win situation. Mataifa kama Marekani, wanaweza kukusaidia katika vita, lakini mwisho wa siku you have to pay, yeah, umeshinda vita kwa msaada wao,je wao wananufaika vipi? That is purely the psylosophy of win win situation!

Sisi kama taifa, kihistoria bila kumung'unya maneno, tulichangia katika ukombozi wa mataifa mengi, hebu nianze na Zanzibar, nadhani ku win kwetu ni eti kuunganisha mataifa mawili, hebu tutafkali, hiyo ni win win situation? kwa upande wangu hiyo sio win win! Wao wanapata je sisi tunapata?

Katika ukombozi wa bara la africa, ni kweli tumechangia kwa asilimia nyiingi saana, je tume win nini? wengine watasema uhuru wa muafrica, je inatosha? Wametulipa nini baada ya uhuru wao? Nadhani ni wakati muafaka kama taifa kuzingatia kwa kina hii falsafa ya win win situation, ili laana isizidi kututafuna, manaake ina reflect kwenye mikataba mingine ya kawaida kama ya madini nk, ni laana ya kutozingatia haki, tunaona ni haki kutoa kitu bila kupokea, tunapotea! lets stick kama taifa katika falsafa hii ili tuviokoe vizazi vijavyo kuzama katika utumwa, remember always you win i win!