Moto umeikumba hospitali moja ya wagonjwa wa matatizo ya kiakili nje ya mji mkuu wa Urusi Moscow na maafisa wa huduma za dharura wamesema umewauwa watu wote 38 waliokuwa ndani ya hospitali wakiwemo wahudumu wawili wa afya.Shirika la habari la serikali RIA Novosti limewanukuu polisi wakisema kuwa moto huo umesababishwa na hitilafu za nyaya za umeme.
Friday, April 26, 2013
MOTO WAUA 38 MOSCOW LEO ASUBUHI