Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Zarubezhstry Joint
Stock ya nchini Urusi, uliyoongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo,
Bw. Renat Shigapov, walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es
Salaam leo Aprili 29, 2013, kwa mazungumzo. Picha na OMR

akionyeshwa moja ya mfano wa ramani ya bandari wanazotengeneza katika
nchi mbalimbali duniani, na Aleksandra Necheporenko, Naibu Kiongozi wa
Idara ya Kimataifa ya Kampuni ya Zarubezhstry
Joint Stock ya nchini Urusi baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Aprili 29, 2013. Picha na OMR