Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na wanawake wa Makambako
baada ya kuwasili kwenye mji mdogo huo akiambatana na Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 10,2013.(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kulia) wakikagua shamba la
nanasi la Katibu Mkuu kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo (kulia) katika
kijiji cha Madeke wilayani Makambako wakiwa katika ziara ya Mkoa wa
Njombe Julai 10,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia kwake ) wakikagua shamba la
nanasi la Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo (kulia) katika

Mkuu, Mizengo Pinda akivuna nanasi katika shamba la Katibu Mkuu
Mstaafu, Philemon Luhanjo (katikati) lililopo katika kijiji cha Madeke
wilayani Makambako akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 10,2013.
Kulia kwake ni mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la msingi la kiwanda cha kusindika
mananasi katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako akiwa katika ziara
ya mkoa wa Njombe Julai 10, 2013. Kulia ni Mkewe Tunu. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)